Gallery

A New Way of Farming

1GENZ-1TRACTOR

Katika kuhakikisha sekta ya kilimo inaendelea kuzalisha ajira zaidi kwa vijana, limeandaliwa pambano la ngumi za hisani kwa taasisi za fedha ili kusapoti na kuchangia program ya ajira kwenye sekta ya kilimo iitwayo "1GENZ-1TRACTOR"

Lengo kuu ni mpango wa ajira kwa vijana katika kukodisha zana za kisasa za kilimo kwa wakulima.

Hivyo katika kufanikisha hilo, taasisi ya ShambaFasta imeandaa pambano la ngumi za hisani ambalo litahusisha taasisi za fedha na wadau wengine.

A New Way of Farming

Our Work in Action

Explore moments from our operations across Tanzania—mechanization services, youth-led centers, training sessions, school farms, and community impact.